Jumanne, 9 Juni 2020

Mika Boy Ft. Barnaba Classic - Naibiwa Official Music Video 4K.

Jamaa mwenye mavoko yake ya kutosha mwenye ufalme wake kwenye RnB Mika Boy kutoka mkoani Songwe anatuleta tena kwenye malavi davi haswaa na ngoma Naibiwa iliyofanyika chini ya Producer Lizer.
Video imetengenezwa na Director chriss


 Karibu kuitazama hapa chini



Na #benemsixvevo

UNSTOPPABLE FLIGHT Mix Vol 1 - BENEMSIX

UNSTOPPABLE FLIGHT Mix Vol 1 - BENEMSIX BY Dj THK.

unaweza kuisikiliza kupitia Audiomack hapa

https://audiomack.com/ben-emsix/song/benemsix-unstoppable-flight-vol-1 

YOUTUBE CLICK HERE 

 hii mix imefanywa na Dj TKH imekusanya baadhi ya kziza nyuma na mpya enjoy

Mika Boy - Ungesema Oficial Music Video 4K.

Mfalme wa RnB Mika boy ametuletea ngoma tam kabisa #Ungesema ikiwa imefanyika chini ya production ya Kimambo on the beat.
ENJOY


#MIKABOY

Benemsix X J Color - ISIS Official Music Video 4K.

Benemsix X J color wanarud tena na time hii wametusogezea bonge moja La ngoma #ISIS. Track imefanyika studio ya #KijanjaStudios vwawa producer Mirra akishirikiana na Meek Brown.

Video imefanyika Mbozi Mission chini ya Ekizegas Video Production akkiwa ametisha sana katika kaz yake.
ENJOY


#SALAM_ZIWAFIKIE.
@benemsix

Benemsix X J Color - Intro Freestyle Oficial Music Video 4K.

Wataalamu wa hizi mambo #Benemsix X #JColor wametudondoshea michano katika ujio wao mpya ngoma inaitwa #introfreestyle ikiwa ni mwanzo tu.
Video imefanywa na Reggani kutoka Ekizegas Video prod. 
Tarajia ngoma kadhaa kutoka kwao mda wowote.
 ENJOY


#HIPHOP #SONGWE

Wazungu Entertainment Ft. Benemsix - My Feeling Official Music Video 4k.

Mkurugenzi wa kampuni ya Wazungu Entertainment bwana B47 hatimaye baada ya kimya cha mda mrefu amerudi tena na Bonge moja la kaz inaitwa My Feeling akishirikiana na Benemsix, The Mic Doctor pamoja na Op The Master.
Video imefanywa na Reggani kutoka Ekizegas Video prod.
 ENJOY


#TRAP

Bad Father - Nisamehe Ft Benemsix, Binash & more Official Music Video 4K.

Hatimaye nguli wa kuitwa Bad Father kutoka kwenye filamu anakuja na ujio mpya kabisa na hii hapa video yake mpya #Nisamehe akiwa ameshirikiana na wasanii kibao wakubwa mkoani songwe Wiz Star, Sam B Dady, Aggai The Pitch, Binash Mswahili na Benemsix.
Video imefanywa na Reggani kutoka Ekizegas Video prod. 
ENJOY

 

#MZIKIUNAOISHI.

Jumatano, 3 Julai 2019

Benemsix - Mlowo Official Music Video

Talented Rapper, Benemsix from Banana Music Gwan has released the visual to his latest titled “Mlowo”, a follow-up to his instant banger, “i feel good“ mastered by both Op The Master and Gidy from Big Nation Rec.




The music video is based on #Benemsix stories about the street called #Mlowo basically it is found in Tanzania at Songwe Region, south west of the country.
 The music video is directed by Regani Ice who explored the realistic narrative of the song through the music video.
              Watch down here:


Pia usisahau ku Subscribe Youtube Account #benemsixVEVO 

 Get an audio via this link https://hearthis.at/benemsix-vevo/01-...

Mungu ni mwema.
Enjoy the good music.

Benemsix - Mlowo Mp3 download

Rapper benemsix amerudi tena na ujio wake mpya MLOWO ambapo awamu hii ametuletea banger
inayozungumzia mtaa anaoishi katika mji wa Mlowo uliopo mkoani Songwe Tanzania.


Unaweza kipakua kwa urahisi kabisa kupitia link ifuatayo hapa chini
     
                    https://hearthis.at/benemsix-vevo/01-benemsix-mlowo-ft-op-the-master/

 Pia inapatikana kupitia Youtube  Audio isikilize hapa chini





 By Blogger.

Ijumaa, 26 Mei 2017

Benemsix Money proud download full album hapa:

Msanii mpya wa miondoko ya Trap/Rap kutoka Songwe, benemsix kutoka BananaMusicGwan (BMG) anakukaribisha hapa kuipata album yake ambayo ni ngoma zake zote alizofanya kama kuna ngoma ulimiss basi inapatikana hapa ikiwa ni pamoja na video yake money proud.

Kuipata bofya link hii hapa chini
https://www.audiomack.com/album/ben-emsix/money-proud

pia unaweza kuitazama video money proud hapa chini



BenemsixMoney Proudhttps://www.audiomack.com/album/ben-emsix/money-proud

  • Feat. MerithaMicaboyTrizie boyWillah touchezGentriez & Geo C
  • Producer: Willah Touchez & Benemsix
  • Added on: Oct 5th, 2016 by Benemsix

    3:39

    0:37

    4:17

    3:55

    3:57

    4:06

    4:06

Alhamisi, 18 Agosti 2016

Geo C Ft. Benemsix & Trizie - No Time mp3 download hapa


Click hapa/here ku download 'no time song performed by Geo C, Ben Emsix and Trizie a.k.a odizetz produced by Andrew beatz and Mixing an d mastered by DX (Defxtro) from Noizmakah Arusha Tanzania G o directly download here LINK down 



Jumatatu, 19 Oktoba 2015

VIDEO; Benemsix Money proud watch here

       Hip Hop artist Ben Emsix a.k.a The Baddest from tKy Music FAME he releases new video named Money proud enjoy from good director Inno Mafuru from Arusha Tanzania (Reds Films Tanzania).

   Money proud produced by Willah touchez from Mbeya town.
  
      CLICK DOWN TO WATCH:




Link yake hii hapa  https://www.youtube.com/watch?v=BqBG1sAeScE
Shukrani.

Ijumaa, 18 Septemba 2015

New song; Benemsix Birthday Box ft.Milla J imetoka rasmi leo iko hapa,

Msanii Ben Emsix kutoka Arusha (tKy Music) ameachia track yake mpya special kwa siku yake ya kuzaliwa ta 19 september imesikika sauti ya Milla J katika chorus. Imefanyika Capital records chini ya Producer Willah Touchez Vwawa Jijini Mbeya. Inapatikana sehem mbalimbali kama Riverbnation, Mkito, SoundCloud, Mdundo na zingine nyingi pia.

IKAMATE HAPA CHINI;



DOWNLOAD HAPA CHINI;



AHSANTE.