Jumanne, 9 Juni 2020

Mika Boy Ft. Barnaba Classic - Naibiwa Official Music Video 4K.

Jamaa mwenye mavoko yake ya kutosha mwenye ufalme wake kwenye RnB Mika Boy kutoka mkoani Songwe anatuleta tena kwenye malavi davi haswaa na ngoma Naibiwa iliyofanyika chini ya Producer Lizer.
Video imetengenezwa na Director chriss


 Karibu kuitazama hapa chini



Na #benemsixvevo

UNSTOPPABLE FLIGHT Mix Vol 1 - BENEMSIX

UNSTOPPABLE FLIGHT Mix Vol 1 - BENEMSIX BY Dj THK.

unaweza kuisikiliza kupitia Audiomack hapa

https://audiomack.com/ben-emsix/song/benemsix-unstoppable-flight-vol-1 

YOUTUBE CLICK HERE 

 hii mix imefanywa na Dj TKH imekusanya baadhi ya kziza nyuma na mpya enjoy

Mika Boy - Ungesema Oficial Music Video 4K.

Mfalme wa RnB Mika boy ametuletea ngoma tam kabisa #Ungesema ikiwa imefanyika chini ya production ya Kimambo on the beat.
ENJOY


#MIKABOY

Benemsix X J Color - ISIS Official Music Video 4K.

Benemsix X J color wanarud tena na time hii wametusogezea bonge moja La ngoma #ISIS. Track imefanyika studio ya #KijanjaStudios vwawa producer Mirra akishirikiana na Meek Brown.

Video imefanyika Mbozi Mission chini ya Ekizegas Video Production akkiwa ametisha sana katika kaz yake.
ENJOY


#SALAM_ZIWAFIKIE.
@benemsix

Benemsix X J Color - Intro Freestyle Oficial Music Video 4K.

Wataalamu wa hizi mambo #Benemsix X #JColor wametudondoshea michano katika ujio wao mpya ngoma inaitwa #introfreestyle ikiwa ni mwanzo tu.
Video imefanywa na Reggani kutoka Ekizegas Video prod. 
Tarajia ngoma kadhaa kutoka kwao mda wowote.
 ENJOY


#HIPHOP #SONGWE

Wazungu Entertainment Ft. Benemsix - My Feeling Official Music Video 4k.

Mkurugenzi wa kampuni ya Wazungu Entertainment bwana B47 hatimaye baada ya kimya cha mda mrefu amerudi tena na Bonge moja la kaz inaitwa My Feeling akishirikiana na Benemsix, The Mic Doctor pamoja na Op The Master.
Video imefanywa na Reggani kutoka Ekizegas Video prod.
 ENJOY


#TRAP

Bad Father - Nisamehe Ft Benemsix, Binash & more Official Music Video 4K.

Hatimaye nguli wa kuitwa Bad Father kutoka kwenye filamu anakuja na ujio mpya kabisa na hii hapa video yake mpya #Nisamehe akiwa ameshirikiana na wasanii kibao wakubwa mkoani songwe Wiz Star, Sam B Dady, Aggai The Pitch, Binash Mswahili na Benemsix.
Video imefanywa na Reggani kutoka Ekizegas Video prod. 
ENJOY

 

#MZIKIUNAOISHI.